- For Inquiries please contact the following numbers:
Help Desk: +255 686 045 974 | +255 768 039 448 | +255 624 620 262 |+ 255 787 290330
Chuo Kikuu cha Mtakatifu Augustino Tanzania SAUT Kampasi ya Mwanza, kinakutangazia nafasi za masomo katika ngazi ya DIPLOMA na CERTIFICATE kwa Intake ya mwezi wa tisa/kumi kwa mwaka wa masomo 2018/2019. Kozi zinazotolewa:
- Certificate in Law (Astashahada ya Sheria)
- Certificate in Business Administration (Astashahada ya utawala wa Biashara)
- Certificate in Accountancy (Astashahada ya uhasibu)
- Certificate in Health Administration (Astashahada ya utawala wa afya)
- Certificate in Computing, Information and Communication Technology (Astashahada ya kompyuta,Teknolojia ya habari na mawasiliano)
- Certificate in Tourism Enterprise Management (Astashahada ya Usimamizi katika Utalii)
- Certificate in Logistics and Supply Management (Astashahada ya Ugavi)
- Certificate in Journalism and Media Studies (Astashahada ya Uandishi wa Habari)
- Certificate in Computer Science (Astashahada ya sayansi ya kompyuta)
- SIFA ZA MWOMBAJI:
i) Mwombaji awe amehitimu kidato cha nne na awe amepata alama za ufaulu kuanzia “D” 4.
NAMNA YA KUTUMA MAOMBI
- Maombi yafanyike kwa njia ya ki-electoniki kupitia Online OSIM – SAS (http://osim.saut.ac.tz/apply)
- Mwisho wa kupokea maombi ni tarehe 08/09/2018.
JINSI YA KUFANYA MALIPO (APPLICATION FEE)
FOR VODACOM (M-PESA)
- Dial(Piga) *150*00#
- Enter 1 [Send money ( Tuma pesa)]
- Enter 4 [ To bank (kwenda benki) ]
- Enter 1 [ CRDB ]
- Enter 1 [ Enter Reference ( Weka namba ya kumbukumbu ) ]
- Enter your reference number which you acquire from system / weka namba yako ya malipo ulioipata kutoka kwenye mfumo
- Enter amount / Weka kiasi cha kulipa
- Enter PIN / weka namba yako ya siri
- Enter 1 [ to Confirm/ kukubali ] or 2 [ to cancel / kusitisha ]
FOR AIRTEL (AIRTEL MONEY)
- Dial ( Piga ) *150*60#
- Enter 1 [Send money ( Tuma pesa)]
- Enter 3 [ To bank (kwenda benki) ]
- Enter 2 [ CRDB Bank]
- Enter your reference number which you acquire from system / weka namba yako ya malipo ulioipata kutoka kwenye mfumo
- Enter amount / Weka kiasi cha kulipa
- Enter PIN to send xxxxxx amount to CRDB BANKCRDB COLLECTION account number (your reference number) / weka namba yako ya siri kutuma kiasi xxxxxxx kwenda CRDB BANKCRDB COLLECTION akaunti namba (namba yako ya kumbukumbu ya malipo)
FOR TIGO (TIGOPESA)
- Dial ( Piga ) *150*01#
- Enter 7 [ Financial services / Huduma za kifedha ]
- Enter 1 [ Tigo Pesa to Bank / Tigo pesa kwenda Benki ]
- Enter 1 [ CRDB ]
- Enter 1 [ Enter reference number / Kuingiza namba ya kumbukumbu ]
- Enter your reference number which you acquire from system / weka namba yako ya malipo ulioipata kutoka kwenye mfumo
- Enter amount to pay / Weka kiasi cha unachotuma
- Enter PIN to Confirm / Ingiza namba ya siri kuhakiki
Kwa maelezo zaidi:
Tembelea tovuti ya chuo: www.saut.ac.tz au katika ofisi ya usajili iliyopo chuoni.
Chuo Kikuu cha Mtakatifu Augustino Tanzania
S.L.P: 307
MWANZA, Tanzania
Mob: +255 756 643 595 / +255 769 759 622
Email: admission@saut.ac.tz
Go to Step Two
Application Category is Currently Closed.
Opening Date will be opened..