2018/2019 Application for Certificate Program - Currently : Open - Deadline: 17-Oct-2018

Help & Support Contacts Information
 • For Inquiries please contact the following numbers
 • WHATSAPP: +255 756 327 423 | + 255 745 559 150

  Help Desk: +255 766 327 423 | +255 745 559 150 | +255 673 598 803 | +255 752 581 035 | +255 713 578 009 | +255 718 322 829
Other Help & Support Documents

Chuo Kikuu cha Mtakatifu Augustino  Tanzania SAUT Kampasi ya Mwanza, kinakutangazia nafasi za masomo katika ngazi ya DIPLOMA na CERTIFICATE kwa  Intake ya mwezi wa tisa/kumi kwa  mwaka wa masomo 2018/2019. Kozi zinazotolewa:

 • CERTIFICATES PROGRAMMES:
 1. Certificate in Law (Astashahada ya Sheria)
 2. Certificate in Business Administration (Astashahada ya utawala wa Biashara)
 3. Certificate in Accountancy (Astashahada ya uhasibu)
 4. Certificate in Health Administration (Astashahada ya utawala wa  afya)
 5. Certificate  in Computing, Information and Communication Technology (Astashahada ya kompyuta,Teknolojia ya habari na mawasiliano)
 6. Certificate in Tourism Enterprise Management (Astashahada ya Usimamizi katika Utalii)
 7. Certificate in Logistics and Supply Management (Astashahada ya Ugavi)
 8. Certificate in Journalism and Media Studies (Astashahada ya Uandishi wa Habari)
 9. Certificate in Computer Science (Astashahada ya sayansi ya kompyuta)
   
 1. SIFA ZA MWOMBAJI:

i) Mwombaji awe amehitimu kidato cha nne na awe amepata alama za ufaulu kuanzia “D” 4.

NAMNA YA KUTUMA MAOMBI

 • Maombi yafanyike kwa njia ya ki-electoniki kupitia Online OSIM – SAS (http://osim.saut.ac.tz/apply)
 • Mwisho wa kupokea maombi ni tarehe 08/09/2018.

UTARATIBU WA KULIPIA KWA AJILI YA APPLICATIONS

1. Tengeneza account ya OSIM kupitia hapa: https://osim.saut.ac.tz/apply/certificate?step=2 jaza fomu utakazo pewa hapo.

2. Fungua link ya kutengeneza account baada ya hapo utapata Namba ya Malipo (Kumbukumbu Namba) na maelekezo ya utaratibu wa Kulipia kupitia Benk ya CRDB (Tawi lolote). Tembelea tawi la CRDB na hiyo kumbukumbu namba.

3. Ukishalipa rudi katika mfumo wa OSIM nenda ukurasa wa kulogin https://osim.saut.ac.tz/login

4. Ingiza email na password yako uliyoutumia wakati wa kujisajili kama Utambulisho (Login ID) na Nywila. (Password). 

5. Ukifanikiwa kuingia katika Mfumo wa OSIM endelea na taratibu zingine za ndani. Utapata maelekezo ya step za ndani. fuata maelekezo hayo.

PAY APPLICATION FEE THROUGH M-PESA

Utaratibu:

 • Piga *150*00#
 • Chagua 4
 • Chagua 1
 • Jaza LIPA namba hii : 5613096
 • Ingiza kiasi cha kutuma : 20,000/= TZS
 • Jaza  M-PESA PIN / PASSWORD
 • Bonyeza/Chagua 1 ili kucomfirm
 • Utapokea Ujumbe mfupi wa kuwa malipo yamekamilika.
 • Fungua Message ya M-PESA uliyotumiwa copy referencd number ya MPESA fungua link hii https://osim.saut.ac.tz/apply/certificate?step=2  utajaza hiyo Reference Number katika kipengele cha malipo.

Kwa maelezo zaidi:

Tembelea tovuti ya chuo: www.saut.ac.tz au katika ofisi ya usajili iliyopo chuoni.

Chuo Kikuu cha Mtakatifu Augustino Tanzania                                              

S.L.P: 307

MWANZA, Tanzania

Mob: +255 756 643 595  /  +255 769 759 622                        

Email: admission@saut.ac.tz

 

Go to Step Two
Education Certification(s) Verifications
NB: All Information to be entered must be valid and From your Education Certificates
* Means Mandatory/Required Fields.
Index No format: Sxxxx/xxxx/xxxx or Pxxxx/xxxx/xxxx . e.g S0200/0004/2010
Secondary Education*
CSEE/Equivalent
Form IV Index No/Equivalent*
In case of Multiple Sittings Use the Latest Index Number

Other Education Qualifications

Payment Method*
Specify the Payment Method you are goind to use
or you have used to pay for application fees.
Login Information
Remember your Email Address and Password. They are needed for Login to the system to finish Applying
Email Address*
Email Address Confirm*
Active Phone No*
Password*
Password Confirm*
Type the characters you see in the picture in the answer input(box)

copyright © 2018 SAUT : OSIM ver 4.7.2